Nimegundua Jambo Hili Kutoka Kwa Maprodyuza

Selebobo on the beat,Nahisi uyu jamaa ni kati ya best Prod in Nigeria.
 
We done connected the dots, and yeah we gon' kill 'em / make 'em bounce to the beats, and I know you gon' feel them /

They all went in, but Majani flopped on this one.​

 
We done connected the dots, and yeah we gon' kill 'em / make 'em bounce to the beats, and I know you gon' feel them /

They all went in, but Majani flopped on this one.​

Paulo Sergio De Souz
 
Hata marais wako fiti kwenye kuimba Example:Museven-You want another RAP
 
Mkuu umenisahau na Mie.Niliproduce na kufanya chorus ya nyimbo ya [HASHTAG]#One[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Nikki[/HASHTAG] @A lot of Wishes
 
Yani nikote aisee hata ma don
Kanye
Wiz Khalifa
Puffy
Dr dre
Jamie Dupri
Pharel
Timberland
The list goes on and on
 
teckno pia alikuwa producer mwanzoni sasa ivi kafocus kwny kuimba
 
Vipi kuhusu yule mzee wa NICHUMU NIKISS MWAAAH😀
 
1. ay ft marco chali part zone
2. godzilla ft marco chali
3. jay martin produced p.square hit songs
4. m.i produced yemi alade hits song
Makochali yupo vizuri sana,
 
Umemsahau Bizman. Kuna wimbo wake katengeneza na Marco Chali siukumbuki jina, miondoko kama ya reggae.
Bizman??? Ule wimbo unaoitwa NIPE MUDA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…