Nimegundua Jambo........

Nimegundua Jambo........

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama huna Hela......

1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako

2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako

3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako

4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali

5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana

6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )

7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe

Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
 
Hela ni muhimu, ila haziongezi wala kupunguza uanaume wako. Character and principles make a man. Mwai Kibaki, Robert Mugabe, Will Smith, wote hawa walikuwa au wana mkwanja na kila kitu kuwazidi wenza wao, ila bado walikuwa clowned hadharani.
 
Kama huna Hela......

1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako

2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako

3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako

4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali

5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana

6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )

7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe

Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
Man down I repeat man down.
Tunazika hapa au tunasafirisha?
Kuwa huna pesa + ukaongeza na huu ulofa, basi tabu
 
Nyie ndiyo wale mkienda kwenye misiba mnawaza kula tu. Haiyumkini hata ndizi mbivu mnakuja nazo.
Utajipa sonona bure kwa misemo ya kitaani.Hata hiyo misiba huwa sihudhurii.Acha mawazo mbofumbofu na uchoyo.Usimjengee tu picha mtu ambaye haufahamu hata characters zake.😂😂😂
 
Kama huna Hela......

1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako

2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako

3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako

4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali

5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana

6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )

7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe

Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
Hayo yafanye wewe kuwawakilisha wale wa aina Yako! Hongera Kwa kuoa / kuolewa na ATM!
 
Kama huna Hela......

1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako

2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako

3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako

4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali

5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana

6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )

7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe

Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
Wanaume wa mikoani mna taabu sana
 
Back
Top Bottom