Nimegundua kioo haki reflect picha halisi.

Tumia application ya mirror kwenye simu ndo utajua sura yako halisi
 
You are correct
 
Wacha bwana[emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama hunasoma physic nakuomba tafuta mpenzi aliyesoma ili akusaidie
 
Huyo huyo aliomba ushauri kuwa asome PCM AU PCB. Kumaanisha alifaulu masomo ya sayansi.

Leo hata hajui namna kioo kinavyoweza kuathiri taswira ya kitu.

Ni aibu mwanaume kila Mara kuwa na Mzaha.
Wewe unayejua inapaswa utuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…