Nimegundua kioo haki reflect picha halisi.

Wewe unayejua inapaswa utuambie

Sio vibaya kupost ila unapaswa kujichunga na yale unayoya-post.

Alafu usipende kutumia wingi kwa mambo uliyoyahitaji mwenyewe.
"Utuambie" neno hilo linaashiria mpo wengi wakati ni wewe mwenyewe unashida.

Pia wewe si ulisoma Physics?
Sasa shuleni ulienda kufanyaje huko ukiwa hujui mambo madogo Kama hayo.

Yaani HR 666. Umezidisha mzaha humu JF
 
Hasa vioo vyenye lens mbinuko ndo utajielewa mkuu
 
We hujiulizi why wasichana hubadili nguo kama tatu mbele ya kioo coz mara zote kio hakisemi kweli tatizo kwa dada zetu wanaamini kioo kuliko macho ya mtu. Atabadili nguo nzuri mwisho anavaa kituko balaa. But nashangaa mtoa mada uchuzi wako umechukua mda hvyo mbona ni rahisi sana kujua reflection ya kioo si sawa ulivyo wewe
 
Sio kioo peke yake mpaka camera zinadanganya kishezi
 
Mkuu inategemeana na aina ya kioo husika maana kuna aina za vioo aina mbili;
1.concave mirror(kioo mbonyeo)
2.convex mirror(kioo mbinuko).
 
Factor mbili ambazo zinaonyesha huyu dogo anamiliki ID mbili HR 666 na Yeezus
>>Yeezus hua anajitokeza baadaa ya hr 666 kupewa ban halafu ka yeezus kanaanza kumtetea kwamba wanajf ndio tunasababissha apate ban, akitoka ban Yeezus huwez kumuona tena humu.. Psychologically ukiangalia maandishi, jinsi yeezus anavyo sound ni hr 66 mtupu.
>>> HR 666 ana mfollow mtu mmoja anaitwa 24hrs na Yeezus anamfolow huyo huyo na wote wana following na follower mmoja tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] endelea hivyo hivyo kuamini huenda imani yako ikaamisha mlima
 
Kioo kina uongo mwingi sana. Mimi nimeangalia kusini, naangalia kioo naona kajamaa flani kameangalia kaskazini. Halafu kuna boya hapa ananiambia eti huyo ni mimi. Nakataa. Jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…