Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Na username zao za ukweli eti eeh!% kubwa ya waliojiunga miaka ya karibuni mfano 2016 - 17 wengi wao hawadanganyi, wanaweka picha za kwao kwenye avatar zao. Hapo ndo mwisho wa ugunduzi wangu nasubiri majibu mabovu kwa watwana, majibu mazuri kwa waungwana.
[emoji23] [emoji23] wallah jf ni kisima cha burudaniKweli kabisa hata Mimi nimeweka picha yangu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] lolKweli kabisa hata Mimi nimeweka picha yangu.
Mkuu nawe upo huku asee tukutane kesho Odinga nikupe pipi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] lol
Ila kama na huyu ninaemjibu ni ya kwake...basi nimuombe ani"pm" pls[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] lol
unauza pipi??Mkuu nawe upo huku asee tukutane kesho Odinga nikupe pipi
pm ndio nini mkuuIla kama na huyu ninaemjibu ni ya kwake...basi nimuombe ani"pm" pls
noma sana!Kweli kabisa hata Mimi nimeweka picha yangu.
Pm ni kifupi cha (picha mbovu) tehpm ndio nini mkuu
Tutakutanaga kwa Papaa mulongounauza pipi??