Nimegundua kitu humu jf

% kubwa ya waliojiunga miaka ya karibuni mfano 2016 - 17 wengi wao hawadanganyi, wanaweka picha za kwao kwenye avatar zao. Hapo ndo mwisho wa ugunduzi wangu nasubiri majibu mabovu kwa watwana, majibu mazuri kwa waungwana.

Kwahiyo Wewe ndiyo huyo hapo katika Avatar yako? Mbona hata Mimi ID yangu inaendana kabisa na kilicho katika Avatar yangu?
 
Yah kaka...naona hata wewe umemuweka kijana wako hapa ambaye naamini ni damu yako so huyu ni wewe nachojua mimi kama mtu huna nia mbaya na huna wasiwasi na njia zako haina haja ya kuhofia kitu,waache watumie tu ni maamuzi yao.
 
% kubwa ya waliojiunga miaka ya karibuni mfano 2016 - 17 wengi wao hawadanganyi, wanaweka picha za kwao kwenye avatar zao. Hapo ndo mwisho wa ugunduzi wangu nasubiri majibu mabovu kwa watwana, majibu mazuri kwa waungwana.
Kweli kabisa
 
Ni kweli kabisa, halafu baada ya muda ndio wanaoongoza kwa kuanzisha threads za "Jinsi gani ya kubadili username"!!!!
 
Nakubaliana na wewe kwa namba za simu ni za kweli maana kipindi cha uaajili wa email sasa wanataka namba za simu tofauti na kuishia 2014 kurudi nyuma. Ndio maana leo wanadakwa ukiandika uzi unaokela wenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…