Nimegundua kumbe kuna umuhimu wa kufunga CCTV camera sakafuni zimulike juu, maana za juu wakati mwingine zinafeli kunasa!

Mkuu zikiwekwa chini zitapigwa spray unaona ukungu tu

Bora kila mteja awe anapewa suma wake wakuzunguka nae akiwa mall
Nimeshauli unapofunga juu, na chini pia weka, zimulike kotekote, huyo atakaye spray inakuwa ishamnasa
 
Kitu kipya kinaibiwa vipi huko kwenye Malls? Hata bila camera unaweza kukamata mwizi. Unafunga RFID tu kwa ku link na barcode ya bidhaa na alarms ya kila exit point. Mtu akitoka na bidhaa ambayo haijawa scanned automatically pale mlangoni alarm inaita, watu wa security wanamalizia kazi yao hapo.
 
Mageti yenyewe mda wote yanapiga alarm tena mostly mashine ziko busy kuingia lakini siyo kutoka
 
Mkuu una point lakini!
 
Haya ndo mawazo tunayotaka, sio kila siku kuhamasisha maandamano sijui tumeibiwa kura, chandimu shwain kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…