FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kile kitendo cha kuomba chenji kwa mwenzako uwe mfanyabiashara au siyo hudumisha amani kwani anayeombwa naye hutoa akiweka akiba kuwa akiishiwa ataomba kwa aliyemsaidia.
Ila kwa watu mlioishi na mnaoishi Ulaya na Marekani huko nako mnaombana chenji? Kama hamuombani huwa mnafanyeje?
Ila kwa watu mlioishi na mnaoishi Ulaya na Marekani huko nako mnaombana chenji? Kama hamuombani huwa mnafanyeje?