Nimegundua kuombana chenji hudumisha amani na udugu. Mlioishi/mnaoishi Ulaya na huko wanaombana chenji?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kile kitendo cha kuomba chenji kwa mwenzako uwe mfanyabiashara au siyo hudumisha amani kwani anayeombwa naye hutoa akiweka akiba kuwa akiishiwa ataomba kwa aliyemsaidia.

Ila kwa watu mlioishi na mnaoishi Ulaya na Marekani huko nako mnaombana chenji? Kama hamuombani huwa mnafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…