Nimegundua kuwa wanajf wengi access ya internet ni tatizo

wote mliochangia hii kitu mtakua mashahid kwa nachotaka kukisema hapa chin asilimia kubwa ya watu wenye majibu ya ajabu leo hawapo hawajachangia so naconclude hiv wengiwao wa wategemeao internet za ofice ndio wenye majibu ya ajabu humu jamvini, kutembelea ndugu au miradi c kigezo kwni kuna cm, kuna mdau kasema kama cm yako ina bluetooth una haja ya kua na modem nahic anazani computer zote zina bluetooth ungesema cable na pc suit. miaka ya nyuma alwayz nlikua natumia cm hapa jamvin nilikua natumia jina langu kamili kutokana na abusiveness za watu na udin nikabadirika nikaja kihivi, ilikua hata nukiwa club lzm nichungulie jf, nikiwa shamba ndio usiseme, nikiwa nyumbani nalima mchicha na kusafisha mabanda ya kuku , mbuz na ng`ombe lzm nichunguliem jamvin via phone.
 
muda wa kutoka na bibi yenu kwenda kupata hata bia 2,3 na mbuzi cku hiz hatufi kisukari, shinikizo, mchungaji dokta yupo.
 

Tupo pamoja! Mkuu naomba unijuze modem ya TZS 30000 unlimited access nitaipata wapi?
 
Tupo pamoja! Mkuu naomba unijuze modem ya TZS 30000 unlimited access nitaipata wapi?

kanunue ya tigo, kama network inazingua huko kwenu chukua ya voda tu 45 au ya juu yake 55. zote unalipia 30000 kwa mwez unadownload chochote mpk mwezi uishe
 
Hivi hii sredi inastahili kuwepo kwenye jukwaa la siasa kweli????
 
sio kila mtu mazee, wengine mbona muda wote tuko hewani? na unatalkiwa kujua si wote tumeajiriwa serikalini au kwenye makampuni binafsi, tumejiajiri na tunatumia simu zetu so full tyme tuko hewani.
 
<br />
<br />

Samahani!hivi wewe ni jinsia gani?maake thread hii umeishusha utafikiri mwana si rizki!Samahani lakini.
 
Nafikiri uko sahihi weekend mambo mengi mkuu,inategemea pia kama mtu anatumia mtandao wa ofisini, kuliko tuwakose moja kwa moja ni vema tukaendelea hivi kuchangia siku za kazi wakati kila mwanachama akitafuta namna ya kupatikana kila siku.:decision:
 
Internet kwa mtanzania wa kawaida ni hanasa, maisha ni magumu sana, sawa utakuwa na LP or dsktop na modem sawa, ila kwa wizi wa mitandao yetu hii huwezi kuimudu gharama zake. Kwa mfano leo nimelipia Tsh 15,000 nika pewa 3gb, nimesurf nusu saa tu internet ikakata, kucheck salio naambiwa nimemaliza 3gb ingali sija download chochote zaidi ya kuwa jf na site ya ofcn tu. Hivi kwa style hii mtu wa kawaida anaweza kumudi hzi gharama kweli?
 
I belive the thinkers should remain in contact as much as it is posible the idea of dependence should always be eliminated. It is not wise to depend on your office or any purposely suported facility to reach your wider JF company... itakua ni ufisadi wa kiana.....My take on the thread is that it is a challenge to be taken seriously.
 

mkuu nasikitika kwa hicho kilichokutokea ,ila kuna vitu vinaweza kuwa ni chanzo
mfano;
1. automatic updates
2. torrent client kama utorrent, au btorrent hizi zinatabia ya kufanya seeding hatakama download imemalizika
3. application software kama photoshop, adobe reader, antivirus, tuneup utilities, etc zinatabia ya kujiupdate automatically so check their settings
4. au spyware

kama settings zote zipo ok jaribu kufanya hivi,
ukiiconect pc yako kwenye neti kabla hujaanza kubrowse fungua command promt halafu run command netstat then enter, hii itakuonyesha site yoyote ambayo hujaifungua na ina run at background, mara nyingi hao huwa ni virus
 

Umeibiwa, 3GB ni nyingi sana haiwezi kuisha hivi hivi. Nunua unlimited ya voda 30,000 au install software ya kumonitor internet usage yako.
Bandwidth monitor, bandwidth speed test, bandwidth and traffic monitoring tool for Windows
 
Ngoja mipango miji ajibu hii modem anayosema. Mimi nimenunua ya airtel kwa 95.000/=, inabeba line yoyote. Lakini ukitaka inayochukua laini ya airtel tu ni sh. 65,000/=
hata hiyo ya 65000 unaweza ukaichakachua na ikabeba line yoyote
 

Mkuu, asante kwa maoni yako. Ila ukweli kwamba sina application yoyote ya torrent kwenye mashine yangu, na windows automatic update nime disable siku nyingi sana, kuhusu kuwa na spyware sidhani kama kuna kitu kama hicho maana nina antivirus nzuri tu...

Cha kunishangaza ni kwamba nilikuwa na jiunga na package zao za 400Mb na nilikuwa na uwezo wakuitumia ndani ya wiki nzima, mkuu kweli ndani ya nusu saa umalize 3gb kwa speed ipi ya mtandao? Nilicho kifanya modem yangu nimeifungia kabatini hivyo nitarudi kwa ISP wangu wa cable ambaye na mlipa tsh 40,000 kwa mwezi kwa speed ya 256.
 
Umeibiwa, 3GB ni nyingi sana haiwezi kuisha hivi hivi. Nunua unlimited ya voda 30,000 au install software ya kumonitor internet usage yako.
Bandwidth monitor, bandwidth speed test, bandwidth and traffic monitoring tool for Windows

Mkuu Kang, asante kwa hii software, kuhusu unlimited ya voda wanakulimit kwenye speed mkuu, wanakupa speed ya 64kbps ambayo nadhani itakuwa na mwendo wa kobe...

Ikinibidi itanipasa kuhamia voda maana sasa internet imekuwa ni sehemu ya maisha yangu popote pale nilipo.
 
fafanua unaconect vipi?
kwanza install pc suite(hii software huwa kwenye CD iliyokuja na simu yako) kwenye computer yako, sharti computer yako nayo iwe na bluetooth, halafu unaconnect simu na computer kwa kubonyeza kitufe sehemu iliyo andikwa click here to connect to phone hapa utapata option zifuatazo;
1.cable connection
2.infrared connection
3.Bluetooth connection
chagua bluetooth connection kisha subiri connection iwe established, then bonyeza kitufe kilichoandikwa internet kwenye kidirisha cha pc suite. baada ya hapo ngoma inogile.
angalizo; hapa nawazungumzia wale wanao tumia pc suite za nokia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…