Nimegundua kuwa wanajf wengi access ya internet ni tatizo

Yeah kama unataka kudownload vitu haraka au kucheki sana video haifai, ila kwa jf and facebook inakutoa. Kudownload nilikuwa natumia download manager naiacha overnite.
 
nitarudi kwa ISP wangu wa cable ambaye na mlipa tsh 40,000 kwa mwezi kwa speed ya 256.
mkuu wako wapi hao jamaa naona nimeanza kuvutiwa nao, vipi wanatoa unlimited?
 
Hahahahaha hii mada ina ukweli hapa ofisini kwetu tuko 8
lakini hata bosi wetu nae huwa anaingia JF alafu anatulaumu
sisi tunachat sana na kuchangia mada jamvini wakati nae yupo
tena pamoja na msaidizi wake.
 
Yeah kama unataka kudownload vitu haraka au kucheki sana video haifai, ila kwa jf and facebook inakutoa. Kudownload nilikuwa natumia download manager naiacha overnite.

Ok, mkuu, naomba kuuliza, ukiacha usiku mzima unaweza kudownload file la ukubwa wa size gani hadi asubuhi?
 
Ok, mkuu, naomba kuuliza, ukiacha usiku mzima unaweza kudownload file la ukubwa wa size gani hadi asubuhi?

Kusema ukweli sikumbuki mzee, ni muda kidogo.
 
mkuu wako wapi hao jamaa naona nimeanza kuvutiwa nao, vipi wanatoa unlimited?

Mkuu, hawa jamaa wanaitwa misigacom, jaribu kuwa google, ni jamaa wananunua connection kubwa kwa Simbanet na wao kuiuza kwa wateja wao kwa ukita vipande vipande, ni wazuri kwa kweli, ila kwa hapa Dar wapo Mbezi Beach na kati kati ya mji. Hawa jamaa wameniunganishia home na mimi kupatikana nyumbani ni weekend tu, hivyo mda wingi vijana ndio wanakesha wakidownload ma movies.

Kama nilivyo sema hapo juu jamaa wanatumia wired, hivyo mti ukidondokea huna net siku 3, maana hawana mafundi wa kazi hiyo hivyo wanavizia mafundi wa TTCL kuwa fanyia hiyo kazi kwa mapalipo ya hapo kwa hapo.
 
gharama ya kukuonganishia ni kiasi gani?
 
teh tehe mmenisema lakini mimi nakuaga kwa ofisi hata sandei
 
Dah sasa na hiini habari ya teknolojia Au ndo moderator wameamua kupotezea huku kimtindo ?

Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…