Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Naelewa tabu zimekuwa nyingi,

ILA,

Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu?

Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma

"Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" . Hizi kauli, hata mtoto wa form 1 lazima ajiulize.

Nioneshe scripture ilio muonesha Yesu, Paulo, etc anachangisha pesa ili watu waonane nae personally ili wajipatie uponyaji kwa kigezo cha kutanguliza sadaka mara ku-finance huduma.

UKWELI NI KUWA,

WEWE NA YULE ALIENDA KWA SANGOMA TANGA MKO KUNDI MOJA, HASWAAAAA.
 
Makanisa ni kama bar na disco watu wanakwenda kuburudika miziki kutafuta mademu ....na mabwana ...show za mavazi ....kudansi miziki nk ndiyo maana hata wakijua ukweli awataki kuacha kwenda makanisani mwao kwa mitume na manabii wash3nzi.
 
Back
Top Bottom