Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Ahsante sanaPole
Naam uhakikaMuhimu kumove on tu mkuu....ni kukomaa tu
Imeandikwa hiyoIwe kwenye MAHUSIANO
Iwe kwenye Biashara
Uwe kwenye elimu
Iwe kwenye ajira KAZI nk.
Maumivu yapo kukufanya ukomae,
Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
HONGERAIwe kwenye MAHUSIANO
Iwe kwenye Biashara
Uwe kwenye elimu
Iwe kwenye ajira KAZI nk.
Maumivu yapo kukufanya ukomae,
Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
Wee acha kujipa moyo,,eti niumie kwa ajili ya kuwa bora!! mbona RIDHIWANI KIKWETE haumii ili awe bora!!Iwe kwenye MAHUSIANO
Iwe kwenye Biashara
Uwe kwenye elimu
Iwe kwenye ajira KAZI nk.
Maumivu yapo kukufanya ukomae,
Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
2000 generation usibishe!Kwa nini uumie ili uwe bora?
Inashindikana nini kuwa bora pasipo kuumia?
Hakuna tuzo ya kuumia.
Hakuna tuzo ya mtesekaji na muumiaji bora.
Dunia haitakupa tuzo ya maumivu.
Enjoy your life to the fullest.
Avoid pains by all means necessary.
I'm out.
Nisibishe nini?2000 generation usibishe!
hujaelewa nilichokwambiaNisibishe nini?