Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Yaani huwa nashindwa kuwaelewa wanotaka au wanaojiua kwa sababu ya kusalitiwa/kukataliwa kimapenzi na wapenzi wao.

Ndugu tena wewe ni afadhali umejua tabia ya usaliti za huyo mpenzi wako kabla ya ndoa.

Achana naye. Songa mbele. Jipe muda wa kutulia kidogo kabla ya kuanzisha mahusiano mengine.
 
Bob....jamaa anaonekana hana K nyingine za kupiga.

Huu ushauri unafaa MTU Mwenye madem zake Wa kutosha.


Mtoa mada akiufata huu. Atapiga punyeto sanaaa mpaka Ubooo uchubuke.



Yeye ajifanye hajui chochote. Waendelee kukapelekea moto hako kajinga kanakojiona kamwamba kuchanganya wakaka wadamu.



Waendelee kukala maana mwisho wa siku watakaacha tu wote. Na kamtu kenyewe kana miaka 24[emoji23][emoji23].


Yaan unampenda kwa dhati mschana wa miaka 24?? .


Wakapelekee moto. Nakwakua huo umri ndio wanajaribu kilakitu ..
 
Bora ujiue tu, ili waoane.
 
wewe sio wa kwanza wala sio mwisho hizo zinatokea sana sema tu haya mambo ni siri na wachache huwawanagundua.

kikubwa mteme na waache .

ila ningekua mimi lazima ningescreen shoot hlf nikatunza kwenye simu yangu.

mie siwezi ishi bila aman peke yangu kama kaharibu na mimi naharibu.

ningeanza na mwanamke kumuonyesha ujinga wake hlf simwambii kitu nakuja kwa ndugu nae namalizia hlf nawaacha hvyo hvyo mpaka wanakufa hawatasahau.
 
Sasa boy unataka kujiua kisa mwanamke!? Usifanye ujinga huo inauma lakini itapoa ngoja muda uende uende kwanza.

Ushauri:
1. Piga kimya yani muache huyo manzi kimya kimya. Usimsemeshe tena, wala kuongea naye wala kujibu sms zake jifanye tuu umekata umeme ghafla.Hii ngumu lakini jikaze ndo uanaume huo.

2. Mdogo wako kamuelewa shemeji yake ni ndugu yako huyo mkaushie kosa ni la bi dada kwa akubali kutoa mzigo hali ya kuwa anajua ni shemeji yake. So mwambie tuu dogo unazingua unakula shemeji yako hvyo tuu simple simple usimmind!

3. Maisha lazima yaendelee tafuta goma lingine piga ,uisweke kambi ya kudumu sasa utaumia ikifikia uliyepangiwa na Mungu utamuona tuu pigo zake huyo ndo utaoa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukinywa sumu utakuwa umepunguza idadi ya wazinifu ,Ila kosa la uzinifu adhabu yake ni mijeledi kwa mtu Kama wewe
 
Kama kweli unampenda uyo mwanamke wwko na hauko tayar kumpoteza kwa ajili ya uyo dogo wako.

Kama una roho ngumu,
Wee Tengeneza figisu bila wao kujua, uwafarakanishe wagombane na waachane.
Kisha uyo mwanamke abaki kua wako TU.

Hii ndio Njia ya kiume zaidi unapotetea penzi lako , na sio kulia Lia.
 
Pole sana. Huna sababu ya kunywa sumu; hayo mambo hutokea mara nyingi... wewe si wa kwanza na wala siyo wa mwisho.

cha msingi achana na huyo mwanamke t fanya ishu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…