Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Unywe sumu kisa mpenzi tena hata mahari hujamtolea

Wenzio wanasomesha(ga) hadi wapenzi wao

lakini bado wanasalitiwa lakini wanasonga mbele

Mungu kakuonyesha kwamba huyo hafai kuwa mkeo

Ebu sema Mimi mwanaume siwezi kufa kijinga ee

bana, mbona mabinti wengi tu utapata wakufanana naye

Pole sana
 
Unywe sumu kisa mwanamke.... usifanye hvo ....mapenz yanauma ndio na utasahau pia kuhusu hayo maumivu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kunywa tu sumu ila nakushauri tumia flagyl chache na glass ya K vant ili usisumbue watu.Msibani tunakula staili ya chuma mboga
 
Hama hapo nyumbani kwanza upate exposure ya maisha....Unawazaje kunywa sumu kwa ishu ya kifala kama hii?[emoji706]
 
Sikia ndugu yangu! Sahau kuhusu mpenzio! Usimtafute tena na ata akipiga simu usipokee kaa kimya kabisa sio kwa ndugu yako wale yeye! Endelea na mishe zako alafu jifunze kutokupenda kupitiliza ila waheshimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu,achana na huyo mwanamke mapema sana. Shukuru kwakua umegundua mapema,vinginevyo ungeoa huyo mwanamke na kuja kulea mtoto wa mdogo wako.

ACHANA NAEEE!!
 
Hao wasichana WENGI na WAAMINIFU wanapatikana wapi ndugu?

Kwa kifupi jamaa kashaumia la kushoto so hana namna zaidi ya kubadili mkao na kwenda kwa mwingine akaumie la kulia.

Maumivu yako pale pale,hayakwepeki ila naunga mkono suala la kuachana na huyo mwanamke haraka.
 
Unajua nn usiweke moyo wako wote kwenye mapenzi utakuja kuishia kuumia haswa Kwa Hawa wasichana ambao wako under 27yrs old age wanatamaa nyingi na ujinga mwingi kuliko unavyozania, na kama huyo Binti amegegedwa na mdogo wake inamaana hata huko mtaani wanaume wengine wanajimegea tu
 
Hapo hakuna mwanamke akiacha na mdogo wako atatoka mm kiufupi achana na huyo mwanamke , c wazee wa kuona mbali
 
Acha upuuzi wewe!unaumia nin sasa?eti unywe sumu,mzima wa akili wewe?mapenzi sio kwa kila mtu,jikite katika shuguli za kujenga taifa,uhame apo.mwachie nduguyo kwa roho safi,ukiwa na ushaidi wote na uwachane wazi.maisha lazima yaendelee.
 
Usiwe pimbi, ukinywa sumu ukafa ndio utaondoka na hiyo mbususu,au utakuwa umemua nguvu nduguyo kwamba hatoweza kuichakata tena, we kufa wenzio wazidi kula raha kwa uhuru..

Kuwa mwanaume, shukuru mungu kakuonesha uhalisia, piga chini huyo kenge, ukitaka muoneshe mdogo wako kama umejua, kisha we move on, kuna wanawake wangapi duniani? Ukampende mtu kuliko nafsi yako, huo ni ukenge.
 
Kabisa yani,kwa kifupi huyo binti sio mchoyo kabisaaaa!! Kama kapata ujasiri wa kumpa tunda mdogo mtu,mmmh!!
 
Pole sana mkuu.. lkn kwanza kabisa jitambue kuwa wewe ni wakiume kaza roho. Yatapita, wanawake wapo weng sana tena wazuri zaidi ya huyo... usifanye jambo baya ili kulipiza kisasi kwa sababu yawezekana ungeendelea nae kuna jambo baya zaid lingekukuta huko mbeleni...

funga ukurasa huo mkuu hawa wanawake hawaamini hata kidogo tuwapende lkn usiwaamini kabisa.. pole sana mkuu ila achana wala usije ukarudi nyuma hata siku moja wala usiuonee huruma.. move on wanawake wapo weng
 
Ukijua kitu -ve kwa mpenzi au mke wa ndoa na hata wa kuvuta.

My friend usirudi nyuma Acha na huyo mwanamke haraka .

Njia pekee ni kuongeza kujipenda na kujilisha vizuri haiitajiki hasira kwa ndugu yako .

Mke /mpenzi ndio anakosa kubwa na adhabu pekee ni kumweke pembeni .
 
Waache waendelee kutembeleana..nawe tafuta mwingine wa kutembea nae..

kizuri kula na wenzio
 
Chai
 
Wakiume Tena 😂😂😂andika mwanaume
 
muanzisha uzi atakuwa ashabwia kiuatilifu. binti anayekubali kutoka na mdogo wako hata baba yako anaweza mbeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…