Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Asante soon tu naachana kaniletea dharau sanaPole sana mkuu vuta chuma mpya mbona usajiri uko E kbs
AsanteCha kwanza amani ya moyo kama haupo na amani ya moyo bora uchomoke hapo long distance relationship wanaweza wazungu siyo sisi manyani piga chini vumilia maumivu mda mfupi upate amani ya moyo ya kudumu
Kweli mkuuTumia akili, hata katika biblia hakukuwa na ndoa ya Jerusalem na galilaya.
sasa wewe uko njombe, yeye kisemvule kwanini wahuni wasi kugongee.
Kabisa unachosema nimeshaanza kuchukua tahadhari nilimwambia tukapimeUnalalaje ndani na mtu msaliti? Chukua tahadhari asije akakuletea magonjwa.
Tuna watoto wawili nilikua napenda sana watoto wangu wapate malezi ya baba na mama lkn kwa hili watanisameheMmezaa watoto wangapai
Halafu alivyo hana aibu eti nisamehe mme wangu nilitamani nimtie mkofi sema ndyo hvyo sijawah piga mwanamkeChukua hii "msaliti hasamehewi"
kama hauna sababu za muhimu sana zinazoweza kukugharimu maisha yako basi usioeWakuu habarini za siku nyingi poleni sana kwa yaliyotokea
Kijana mwenzenu nilifunga ndoa 2021 lakini kutokana na mambo ya ajira mimi na yeye tunaishi mbalimbalI.Hapo mwanzo sikuona changamoto yoyote lakini miezi kama mitatu hivi nikaona utofauti ukipiga simu usiku utakuta iko busy nikamwambia ww usiku busy unaongea na nani akaniambia itakua mtandao na pia wakati mwingine anapokuja simu yake anaweka mlio wa chini sana yaan huwez sikia ikiita na wakati mwingine anaifunika yaan kwenye kioo kunafunikwa hata ukipiga huoni hapo nikaanza pata wasiwasi kwann inakua hivi basi kuna siku nilikuta no za simu mbili nikazichukua zote nikasave kwenye simu yangu sasa siku moja simu yangu iliharibika nikatoa laini yangu nikaweka kwenye simu ya wife nikaenda nunua simu sasa kumbe zile no nilizochukua kwake kuna moja ilituma msg kwenye laini yake lakini jina lilisomeka lile nililosave akashtuka niliporud akaniuliza nikamwambia sijui lkn mtu ambae ni muelewa angejua tu hapa taa ya kijani ishawaka siku zikapita sasa kuna kipind alikua likizo tupo sote home simu kaacha sebuleni yeye yupo jikoni anapika simu ikaita kama kawaida haina mlio mi nikaangalia no ni ile ile niliyosave nikapokea ili nisikie sauti ni ya nani kwa sababu nilovyomuuliza mara ya kwanza alisema ni mdada wa kazini kwake nilivyopokea nikasikia njemba inaita halloo mi nikakausha nikasepa kidogo nilikua na mishe nyingine sikukaa sana nikarud nikamuuliza ile no uliyoniambia ni mdada mbona sauti ya kike mtu kimya nikamwambia piga simu akapiga yule jamaa alivyosikia sauti yangu hakusema chochote akajifanya kama hasikii simu ikakatwa nikapiga sana wapi hapokei bask nikamwambia wife nipe pin ya simu yako akanipa nikachukua ile simu na ya beki tatu nikaondoka nazo ilikua ijumaa nilikaa nazo hadi nikarud jumatatu lkn jumapili yeye alichukua simu sijui ya nani akanipigia naomba rudi nyumbani tuongee mi sikurud nilirud jumatatu asubuh ile jumapili nilimpigia mama ake simu nikamueleza hilo tukio nilipiga simu kwa mama yake kutoa tu tahadhari lisije la kutokea huku mkashangaa akaniambia ataongea nae lkn najua wamama na watoto wao wa kike wanafichiana siri nakumbuka tukio kama hili liliwahi kutokea kwa mwandishi mmoja hivi wa ITV.Jion nilivyorud akaomba msamaha lkn picha inaonekana kabisa kuna usaliti sasa wakati nimeishikilia simu yake nimekuta kamu hide asione status zake akipost halafu nikaangalia kwenye wanaompigia simu nikaona ile no pia huwa inampigia simu usiku.Nimejitahid sana nimekaa mda mrefu sijatongoza demu yeyote yule lakini mwenzangu hanielewi na kuna kipindi alikua hapend kutoa show eti anatumia njia ya uzazi wa mpango mi huko tunakoelekea naona kabisa hii ndoa hatufiki mbali yaan ndoa yangu imeshikiliwa na kipande kidogo cha kamba mda wowote inakatik
😀😀kama hauna sababu za muhimu sana zinazoweza kukugharimu maisha yako basi usioe
Mkabidhi kwa mama yake kwa amani. Miaka yote hiyo yuko mbali na wewe, inawezekana hata hao watoto au mmoja sio wako. ThinkHalafu alivyo hana aibu eti nisamehe mme wangu nilitamani nimtie mkofi sema ndyo hvyo sijawah piga mwanamke
Hakuna usaliti mbaya kama mwanamke kuchepuka, ikikutokea usihitaji ushauri wala maulizo. Mrudishe kwa amani.Wakuu habarini za siku nyingi poleni sana kwa yaliyotokea
Kijana mwenzenu nilifunga ndoa 2021 lakini kutokana na mambo ya ajira mimi na yeye tunaishi mbalimbalI.Hapo mwanzo sikuona changamoto yoyote lakini miezi kama mitatu hivi nikaona utofauti ukipiga simu usiku utakuta iko busy nikamwambia ww usiku busy unaongea na nani akaniambia itakua mtandao na pia wakati mwingine anapokuja simu yake anaweka mlio wa chini sana yaan huwez sikia ikiita na wakati mwingine anaifunika yaan kwenye kioo kunafunikwa hata ukipiga huoni hapo nikaanza pata wasiwasi kwann inakua hivi basi kuna siku nilikuta no za simu mbili nikazichukua zote nikasave kwenye simu yangu sasa siku moja simu yangu iliharibika nikatoa laini yangu nikaweka kwenye simu ya wife nikaenda nunua simu sasa kumbe zile no nilizochukua kwake kuna moja ilituma msg kwenye laini yake lakini jina lilisomeka lile nililosave akashtuka niliporud akaniuliza nikamwambia sijui lkn mtu ambae ni muelewa angejua tu hapa taa ya kijani ishawaka siku zikapita sasa kuna kipind alikua likizo tupo sote home simu kaacha sebuleni yeye yupo jikoni anapika simu ikaita kama kawaida haina mlio mi nikaangalia no ni ile ile niliyosave nikapokea ili nisikie sauti ni ya nani kwa sababu nilovyomuuliza mara ya kwanza alisema ni mdada wa kazini kwake nilivyopokea nikasikia njemba inaita halloo mi nikakausha nikasepa kidogo nilikua na mishe nyingine sikukaa sana nikarud nikamuuliza ile no uliyoniambia ni mdada mbona sauti ya kike mtu kimya nikamwambia piga simu akapiga yule jamaa alivyosikia sauti yangu hakusema chochote akajifanya kama hasikii simu ikakatwa nikapiga sana wapi hapokei bask nikamwambia wife nipe pin ya simu yako akanipa nikachukua ile simu na ya beki tatu nikaondoka nazo ilikua ijumaa nilikaa nazo hadi nikarud jumatatu lkn jumapili yeye alichukua simu sijui ya nani akanipigia naomba rudi nyumbani tuongee mi sikurud nilirud jumatatu asubuh ile jumapili nilimpigia mama ake simu nikamueleza hilo tukio nilipiga simu kwa mama yake kutoa tu tahadhari lisije la kutokea huku mkashangaa akaniambia ataongea nae lkn najua wamama na watoto wao wa kike wanafichiana siri nakumbuka tukio kama hili liliwahi kutokea kwa mwandishi mmoja hivi wa ITV.Jion nilivyorud akaomba msamaha lkn picha inaonekana kabisa kuna usaliti sasa wakati nimeishikilia simu yake nimekuta kamu hide asione status zake akipost halafu nikaangalia kwenye wanaompigia simu nikaona ile no pia huwa inampigia simu usiku.Nimejitahid sana nimekaa mda mrefu sijatongoza demu yeyote yule lakini mwenzangu hanielewi na kuna kipindi alikua hapend kutoa show eti anatumia njia ya uzazi wa mpango mi huko tunakoelekea naona kabisa hii ndoa hatufiki mbali yaan ndoa yangu imeshikiliwa na kipande kidogo cha kamba mda wowote inakatik
Vijana mnapata moyo wap mgumu kiasi icho mtu anakili na kutaka asamehewe na bado unasameheHalafu alivyo hana aibu eti nisamehe mme wangu nilitamani nimtie mkofi sema ndyo hvyo sijawah piga mwanamke