Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

Kwangu mimi naona bado hujawaha na ushahidi wa kutosha tifauti na kuona namba na sauti ya kiume. Vikao vikianza anakushinda. Apps za kukupa taarifa zipo hadi za bure unashindwa nini kuziweka ujikusanyie uhakika. Fanya hivi:
Mnunulie simu mpya, nenda kwa vijana watundu kama huna utundu wakuwekee app ya kukusanyia taarifa za kila anachofanya, kisha rudi nyumban mwmbie umemsamehe muanze upya na mpe zawadi ya hiyo simu. Chukua simu yake ya awali tia home au uza urudishe hela yako uliotumia kumnunulia simu. Baada ya hapa kusanya ushahidi na kisha uamue uache au ukomae na kamba yako ya shingo.
 
Umri wako tafadhali?

Huwa unahudhuria vikao vya wanaume?

Unajua kosa la usaliti adhabu ni nini?

Kipi kinakugandisha hujamuacha huyo mwanamkr mpakq sasa.

Acha USENGE unatafuta marafhi ya moyo, piga chini endeleq na maisha mengine
 
Pole sana

Unapokea simu
Unamwambia mpige..hapa mwenzako anajua kwamba huyo mkeo ana mme na lazima huyo mwenzako anafaidika kitu kwake zaidi ya mwili kwa kuwa mvumilivu na kutkumuachia mkeo ingawa umemfahamu

Huko mkoa mwingine ndie mume mwenza

Mna watoto? Na huyo katoka nae mbali sana..

Magonjwa haugopi kuletewa

Ulimwambia Mama yake why sio na ndugu zako na ndugu zake au mmoja wapo mshauriane au rafiki?

Inaonyesha unampenda sana mwanaume kuona yote hayo na bado upo haujafanya maamuzi wow..hongera zako ila ndio hivyo kama unampa pesa fahamu mwenzio nae anafaidi hizo.

Kila la kheri na maamuzi, ila usimpige eala nini na Acha kufatilia anakucheza gemu utaumia zaidi. Just amuaring iweje...
 
Kumbe ni maneno tu ya mtaani kwamba hamsamehi wanawake wasaliti
Nyuma ya keyboard mnasalitiwa mara 3 na mnawasamehe wake zenu 🤔🤔

Nimeamini kuwa watu hawaachani kwa usaliti Bali mapenzi yakiisha
 

Hiyo mara 2 ni watu tofauti?
 
Pole Pole,

Usiwe siriaz sana!

Dalili kuu ya mwanamke kukusaliti ni pale anapoanza kukunyima mchezo Kwa visingizio kibao!

Ukigundua unasalitiwa,usianze kulia,tafuta dem Anza kupiga halafu nyumbani usiombe show!!

Huwa wanatuingiza kwenye mtego wa kuiomba omba na kutuchezea akili "mind games" Sasa usipotumia akili utateseka sana!

Tafuta Dem au Oa Tena kama una uwezo wa kuoa kaoe!halafu mwambie aendelee na mishe zake!asikufanye mtumwa wa Tundu!!
 
Operation kataa ndoa kwa gharama zozote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…