Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

Kumbe ni maneno tu ya mtaani kwamba hamsamehi wanawake wasaliti
Nyuma ya keyboard mnasalitiwa mara 3 na mnawasamehe wake zenu 🤔🤔

Nimeamini kuwa watu hawaachani kwa usaliti Bali mapenzi yakiisha

Upo sahihi, na wewe nenda ka cheat
 
Hapo nimeona ku blockiwa usione status sawa na kuficha last seen...

Hapo nimeona kutumia dawa za uzazi wa mpango ili asipate ujauzito wa mwingine...

Hapo nimeona kujifanyisha kachoka ili asitoe tunda...

Conclusion hayanaga muongozo my dear...
Umetumia njia nyingine ila ujumbe umemfikia mlengwa indirectly
 
Muache aende ndugu. Amani yako Ni muhimu kuliko chochote. Anaweza kukuona unakuwa kero kwake wakapanga kukudhuru.

Ndoa iliumbwa kwa ajili ya faraja, Kama imegeuka mwiba jiokoe mapema.
 
Binafsi nishaapa sitokuja kusamehe wala kuendelea kusishi na mwanamke au mke alie nisaliti.
Ushauri wangu. Anza kujifunza maisha mangine bila yeye then mwishowe upotee kabisa kwenye maisha yake
 
Sawa nimekupata
 
Asante
 
Umri wako tafadhali?

Huwa unahudhuria vikao vya wanaume?

Unajua kosa la usaliti adhabu ni nini?

Kipi kinakugandisha hujamuacha huyo mwanamkr mpakq sasa.

Acha USENGE unatafuta marafhi ya moyo, piga chini endeleq na maisha mengine
Soon navuta chuma kipya
 
Yaani unamfikishia taarifa mama yake afu anasema ataongea nae? Hii dharau kubwa. Yaani mama mkwe anaona ni kama bintiye kugundulika imekuwa ajali. Mkwe muungwana angewaita nyote na wazee wenye busara na kulijadili.

Mkuu umeoa pa hovyo. Kama mama mkwe ndiyo hivyo usitegemee miujiza kwa wife.
 
Yaani kuishi na msaliti ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…