Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

Dah inaumiza sana nikikumbuka ila nitamuachia maumivu
 
Ila ndoa sometimes ni usengee.
Kuna jamaa ni mwanajeshi ana mtoto mmoja sio wake kwa mkewe na sasa hivi mkewe ana mimba pia sio yake, kwa bwana yule yule.!!!
Mke wa jamaa na huyo mchepuko wake wana penzi lisilo kwisha......ni hatari.

Nina ukaribu na dada wa mke wa mwanajeshi ndiye aliyenipa habari hizo. Kuna times jamaa namuonea huruma aisee!

Hulka mbaya sana wake zetu hawa.
 
Mwanamke hana huruma aiseee
 
Huyo askari ni kwamba bado hajafahamu au?
 
Na sijui lini atafahamu. Tatizo jamaa ni mpole mno, mke anampelekesha sana. Sijui hata aliwezaje kuwa askari dah.
Tuma namba yake nimsanue
Naumia sana mwanaume mwenzangu mpambanaji analetewa ujinga.
Ana aibisha jesh.
 
Tuma namba yake nimsanue
Naumia sana mwanaume mwenzangu mpambanaji analetewa ujinga.
Ana aibisha jesh.
Weee! Katika hili ningeweza kuongea hata na mdogo wake mjeda wa kiume namfahamu japo yeye hanijui, ama mama yake kijijini nikitaka namba yake naweza kupata.

Too bad, nna connections za kibiashara na huyo bidada mhusika. Unaweza kuwa mwema kwa mjeshi ila ukasababisha kifo either kwa mtoto au mama. Yaache kama yalivyo mzee.

Kuna vitu mtu hatamani kuvijua ndio kama hivyo.
 
Kuwa makini Mwanamke ishi naye kwa ujanja ukiona hivyo mwambie kidogo sana kama hivi " si unajifanya ww Malaya yangu macho Kisha unaondoka zako atajihisi mengi kichwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…