aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 320
- 526
Nani huyo kwanza, toa ufafanuzi kidogo ili wachambuzi tuchambue vizuriMwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
Kwa ukwepaji huo wa vipimo nakushauri muamshe mkapime muda huu huu. Tena mstue na mchepuko naye aje muambatane naye.Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Dah comrade kashaaribu huyu alikwepa vikao anahifadhi meseji za mchepuko π¬π¬Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Ni mme wangu kabisa, nifanye Nini?Nani huyo kwanza, toa ufafanuzi kidogo ili wachambuzi tuchambue vizuri
Msamehe tu, ni binadamuNi mme wangu kabisa, nifanye Nini?
Kama unataka ndoa achana na simu yake. Jirekebishe pale unapokosea mambo yatakaa sawa... Sasa wewe uyachimbue tena sasaNi mme wangu kabisa, nifanye Nini?
Mimi nakushauri subiri kesho kaa nae chini zungumza nae muyamalize mumeo anakupenda ndio maana kuweka ndani na magume gume anayala lodge.Ni mme wangu kabisa, nifanye Nini?
Usitayafute matatizo acha yaje yenyeweMwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Amshauri mumewe next time adate na mwanamke anayejua kuandika vizuriKwa mwandiko huo wa bidada msamehe tu! Ila mumeo mchimbe biti kidogo!!
ππKaprint stationery, nunua na bahasha nyeupe uiweke humo. Andika anuani ya kazini kwao, then weka kwenye gari yake, bag lake la kazi au mfukoni. Then kaa kimya kwa kutulia endelea na mishe mishe zako za no reforms no election.