Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Ndoa ni yako na mumeo,na binadamu hakuna mkamilifu,kwanza nyamaza,tuliza hasira na mihemko,tafuta siku umtoe out,uwe mtu mwenye furaha na amani,ndipo uongee nae juu ya suala hili,usimuendee kwa hasira utapoteza kila kitu
 

Tulia kabisa, mwanaume akijua unajua umeliwa arawaza kwamba utalipiza, na hapo atakuwa Hana utulivu, atafanya wazi, mwanzo wa ndoa kuvunjika!

Soma sana maandiko ya watu waliopita mazingira hayo has Quora, yamenisaidia sana Mimi, hakuna jambo jipya, yote yashatokea, pata maarifa kupitia wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…