KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
MSAMEHE TU MAANA HATA BATTERY YENYEW ILIKUWA LOW {32%}Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Mumeo kaamua kwenda kuchukua standard 4 hajui matumizi ya R na L.Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Kabisa! Raha ya mchepuko akuzidi kila kitu🤗🤗🤗Amshauri mumewe next time adate na mwanamke anayejua kuandika vizuri
Unadhani kwenye ndoa wanalombana kila siku?Mwanaume una lalaje 23:23, una t*mba sa ngapi sasa
Huu ushauri nimeupenda asante sanaMimi nakushauri subiri kesho kaa nae chini zungumza nae muyamalize mumeo anakupenda ndio maana kuweka ndani na magume gume anayala lodge.
Dada wanaume wote tuko hivyo hakuna mwanaume asie na makando kando sema tu ni akili ya kujilinda na kujisafisha aliyokosa mumeo kuingia ndani kwako bila kufuta meseji za mchepuko
Amini kwamba sisi wengine hatukamatwi sababu tu ni bahati na ni ujanja tuu ila wanaume wote ni wapigaji nje
wewe pekee huna uwezo wa kumridhisha mwanaume ila amini kwamba ww ni bora kwake ndio maana kakuweka ndani pili ww ni bora kwake kuliko hao magumegume wa nje.
Ukweli maana kuna kuchokana usipokuwa makini katika ndoaUnadhani kwenye ndoa wanalombana kila siku?
alfajiriMwanaume una lalaje 23:23, una t*mba sa ngapi sasa
Tupe namba yake ,ila pia kabla ya kufanya kitu jiulize wewe kwanini anatoka nje,wanawake wengi mnakuwa mnawanyima waume zenu tendo la ndoaMwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
niinibox kwa ushaur zaidMwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
HII HAIPINGWI.Alikukuta bikra?
Mwanamke pekee ambaye ana haki ya kulalamika mume wake akimcheat ni yule aliyekutwa bikra
Lakini wiki haiwezi pita kavu kavu ....uzuri wa ndoa hata hutaki au unataka utaitoa hivyohivyoUnadhani kwenye ndoa wanalombana kila siku?
Hajui kuandika lakini nimempenda atleast anajali afya yake…!!Amshauri mumewe next time adate na mwanamke anayejua kuandika vizuri
Amelala moate gololi au mwambie maji ya moto tukutane msibani kisha kanyee ndio.Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.