Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Rin tunaenda kupima

huyu demu wa viwango vya chini pole sana
 
Ukipata ambae hana hayo mambo njoo nkulipee mil 1...ila jamaa kajisahau tu kufuta msaidie kufuta ulale mwayaa.
 
Mchpko anamuambia kupima yeye anakimbilia njoo planet Lodge rafiki yangu nenda kapime sio bure
 
Una-date kilaza ambaye hata kuandika hawezi unategemea nini?
 
Pole kwa kukutana na kadhia hiyo, ila kama hujamfahamu mwenzio kwa faida yako jitahidi ukae mbali na simu yake, zamani Mzee wangu alipokuwa anatoka kwenye pombe kila alipokaribia nyumbani alianza kuimba kwa kilugha nyimbo za ulevi, nilikuwa nakereka, siku moja wakati tunaenda gulioni kuuza ndizi nilimuuliza ni kwa nini huwa anaimba kila alipokaribia nyumbani?? Alipaki baiskeli akakojoa harafu alinitazama na kuniuliza kwanini nilimuuliza hivyo?, huku nikionyesha woga nilimjibu kila alipokaribia nyumbani na kuimba usiku Mimi alikuwa akinikatisha usingizi alicheka sana kisha aliniahidi zawadi, ila aliniambia hangenipa jibu la swali langu kwa wakati ule badala yake aliniambia nikiweza nisiwe nalala hadi muda wa kurudi, baada ya kuuza ndizi zote alininulia viatu na shati kama zawadi aliyoniahidi kutokana na kumuuliza swali lile.
 
Usipaniki, mumeo hajakamatiki, ni anataka kubadili ladha tu, ukiweza vunga au lah mchane uone atakachosema.
 
Hahahaha chama chetu kigumu sana hiki waalah😁😁😁😜
Mmeo ni mwanachama mzuri, sasa siku zote umeishi naye bila kuelewa ni itikadi gani?
Kwani mumeo ashakuletea dharau madam!
 
Ndoa huanza kuharibikia hapo, epuka kuvuruga ndoa yako, ukilianzisha there's no going back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…