Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Hiyo convo, kilichoniacha hoi ni huo uandishi, Lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afya wanaenda kupimia Planet Lodge😁😁😁
 
Msamehe michepuko inaimarisha ndoa. Akija hapo anakipiga show Bomba sana. Msamehe mwamba
 
SULEMANI ALIKUWA NAO 1000 NO ONE COMPLAINED
HIVI WANAWAKE WA SASA MKOJEπŸ˜‚
 
Wewe ni fala na bwege ndo mana mume wako anatoka nje kwa mademu wengine ndo nini umetuwekea picha alafu unaficha namba za uyo mke mwenzio idiot wewe.
 
 
Kila siku unadikia simu zinavunja ndoa , sasa wewe kwa nn unachunguza simu ya mume wako ? Mwana kulitafuta mwana kulipata

Kingine shukuru sana mume wako anajali afya Yuko tayari kupima kabla ya mzagamuano

Ushauri: usiwe unashika simu ya mume wako Ione kama kituo Cha polisi
Wanaume wote ndo wako hivyo , hivyo achana na hiyo kesi , mana mwisho wa siku we ndo utaumia
 
Tatizo lako unataka mwanamme awe na tabia za kike. Mwanamme hapaswi kuwa mwaminifu kwa mwanamke mmoja.

Kiasili mwanamme ndiye amebeba mbegu za uzazi, na mwanamke ni shamba. Mbegu Bora ni Ile inayoota kwenye shamba lolote.
 
Kama alikukuta bikra anakukosea , lakini kama alikuta washagadabangula wanaume wengine mwache aendelee nae kudabangula kikubwa anakumbuka kurudi.
 
Hebu fikilia kama ungekuta meseji kwamba huyo mumeo anapumuliwa yaaan anaingiliwa ungejiskiaje? Acha atoe tiba wanaume tupo wachache Sana jivunie upo na rijali, kuna watu wapo kwenye ndoa na bado wanadunguliwa,, malumbano ya hivyo ni ishu ndogo kama kweli ni mumeo kaanae chini ongeeni kujenga ndoa, na inawezekana tayari mpo na watoto sasa ukileta mbwembwe mitandaoni ukajazwa ujinga utavunja ndoa yako, jukumu la kutetea ndoa yako ni la kwenu,, pia mkumbuke kuwa mahusiano mengi yamepotea kwaajiri ya simu kama hivyo, usitake watoto wako waishi maisha ya tabu kwaajili ya meseji ambazo hazijavaa chupi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…