Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Na wewe nipe mimi ili tumkomoe.
 
Mumeo sio kwamba ni msaliti, bali, mzembe . Hukutakiwa kuona hivyo vitu.

Naamini ulijua mumeo anachepuka. Naamini pia hujaumia kuona mumeo kachepuka. Ila kilichokuumiza ni kuona anachepuka na asiejua kusoma na kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…