Nimegundua mwanamke wangu alizaa na aliyekua mpangaji wangu

Umeandika mengi mno mkuu,yaani utafikiri ni official report!!! Stori Kama hizi Ni vizur ukasammarize key points tu
 
ACHANA NAYE HUYO MWANAMKE.

TAFUTA MAMA J MWINGINE TU.

WANAWAKE WENGI SANA MJINI.
 
Watoto Wangu Mbona nalea vizur tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Just imagine, siku Ile ulipoenda kwa huyo mwanamke ungekutana na jamaa mkapigana, baada mbaya ukauwawa au kwenda magereza kwa mauaji?

Kuwa na mchepuko ni ubinafsi wa kujifikiria bila kuzingatia watoto, Kuna watoto wengi ulimwenguni wanateseka bila wazazi kwa ajili ya huu ujinga.
 
Una vinasaba vya kike,wewe dume zima unamwogopa mwanamume mwenzio?
 
Wewe tayari ni addict wa mbususu, yani hadi kutega sound recorder ili kusikiliza mcheps anaongea nini na jamaa yake?

Wewe ni hatari sana.
 
Huyu usikubali tena kuichakata mbususu hapo kwakwe badili mazingira mkuu
 
DeepPond kwa mara nyingine, huyu siye Mama J wala mdogo ake mama J, ni mwingine tu. Aki mkuu tuzo ya kuchepuka ni yako mwaka huu😂
 
Guts za kwenda home kwa mwanamke mnatoaga wapi wajuba. Na inasimama kabisa unapiga show?
 
Wakat unaabdika hizi makala ukuwa kweny sofa la mama J au mama mwenye nyumba?
 
Yale yale ya mama mchungaji na Katibu wa kanisa marehemu
 
Usijiingize kwenye mgogoro wa singo maza.
Huwa hatuachani na wazazi wenzao.
Kwa sisi ambao hatutupi watoto ndio kabisa hawezi kuniacha kwani Nampa kila kitu in full.
In short Ile ni nyumba yangu nyingine.
Tunaweza kugombana na kununiana lakini siku mzigo wa pesa ukishuka mwenyewe anauliza, Leo huji kumsalimia mwanao?
 
Guts za kwenda home kwa mwanamke mnatoaga wapi wajuba. Na inasimama kabisa unapiga show?
Kuna muda unajikuta wewe ndio mlipaji wa Kodi na mtoa mahitaji wa pale.
In short anakuwa amekukabidhi makazi.
Unaachaje kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…