Nimegundua mwanamke wangu alizaa na aliyekua mpangaji wangu

Mm nakubaliana na ww labda uwe mmeachana tena kwa ungomvi mkubwa ila km alizaa tu na ww ukawa unahudumia km kawa ila hukumuoa huyo akiolewa ww mda wowote ukitaka tunda unaletewa ... Mm nimezalisha wawili ila kwa kweli sijawahi kutembea nao maana wameolewa wote ila km nikitaka ni swala dogo sana tena napewa yoteee sema ni naheshimu sana ndoa na mke wa mtu.
 
Achana naye mzungu hawezi kuishi na koloni moja acha ujinga achana naye huyo dada mpuuzi.
 
Fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe...
 
1.Assume hujui mchepuko wako kazaa na huyo jamaa afu maisha yaendeleee
2.Msomeshe jamaa A to Z isijekuwa Kuna vitu mwanamke hakuambii
3.Achanaaa nae Kuna vitu anakuficha au jamaa ake huyo ni mkorofi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula maliza endelea na safari hamna haja ya kupiga Kambi na uyo mchepuko Kwa mda mrefu,tena home kwake mbona hiyo ni hatari.
 
Mama j mumeachana?? Vp hamuongei kwa simu?? Umedhamiria kumuacha ma j?? Maana huwa unasema anakishimo kitamu huwezi kumwacha.
 
Endelea nae tu hamna tatizo mbona.muongezee cherehani nyingine akuze ofisi,huyo ana akili,nikikumbuka Ile nyumba ya udongo imepakwa chokaa aliyokukaribishaga anaonyesha ukomavu wa akili maana wadada wa mjini kwa show off ungeonyeshwa nyumba ya jirani
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…