Nimegundua Umughaka ni pachawangu

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Baada yakusoma maandiko mbalimbali ya umughaka humu jukwaani,na kuvitazama kwa umakini visa vyake,nimegundua tunafanana kwa vingi

1. Ulofa
Mimi ni lofa sometimes hasa kwenye kudai hela,naweza tapeliwa hela yangu kirahisiraisi nanikachukulia poa,hali hii inafanya nionekane lofa sana,ingawq nafanya kwawema tu

2. Ushamba wa wanawake wenye makalio makubwa
Kwanza nkiri kwa kusema wanawake kikawaida,hasa awa wa,uswahilini wanatakiwa kumheshimu mno mwanaume mwenye ela

Unapokua na elana ukaona uheshimiwi au unatikisiwa kiberiti basi,jitafakari sana
Umughaka kwa ela zake hakuwa wakutishiwa kuachwana yule mwanamke. Ni wazi aligundua kua huyu mwanaume ana ela ila ni nimshamba,nanaweza kumuendesha,nitakavyo

Umughaka hakuwa wa kugomewa,eti sitaki kukaa siti yanyuma, ni wazi alishampima na kuona huyu mwanaume nimshamba ingawa ana ela.

Kwa ivyo tunafanana sana

Pia ishu ya kupiga show mpaka asubuhi tunafanana... Napendelea sana binafsi

Nb
Uzi wa utajiri wa rafiki yangu ukafanya nimuamini shetani ndipo nilipotoa reference hii Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini shetani
 
Sawa(ela_Hela)sio ela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…