Nimegundua wenyeviti wa Serikali za mtaa ndio walikuja wanaongoza kwa kuwa na mabanda mtaani

Nimegundua wenyeviti wa Serikali za mtaa ndio walikuja wanaongoza kwa kuwa na mabanda mtaani

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Yale mabanda maarufu ya wamachinga, kwa uchunguzi wangu binafsi nimegundua viongozi wa serikali za mtaa ndio walikuja na mabanda mengi barabarani na ndio walikuja wanapangisha wamachinga barabarani..so tusishangae zoezi hili kusua sua.
 
Unatarajia nini wote kutoka chama chetu pendwa CCM. Wenyeviti wa serikali za wengi walikuwa vibaka.
 
Hahaahahaha kwani si wapo mtaani sasa kuna noma kwani?
 
Yale mabanda maarufu ya wamachinga, kwa uchunguzi wangu binafsi nmegundua viongozi wa serikali za mtaa ndio walikuja na mabanda mengi barabarani..na ndio walikuja wanapangisha wamachinga barabarani..so tusishangae zoezi hili kusua sua.
Na si wote ni wanatokea CCM? Wacha waparurane. Mbuzi
 
Back
Top Bottom