nimegundua

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
533
nimetoka kidogo nje, meacha laptop yangu ikiwa on, tena nkiwa jf, kuna kabint kako hapa home nlikaacha kanchek tv, nimeingia hapa ghafla nimekakuta na kenyewe kanaperuz humu, hii imenifanya nihc kuwa kuna wengi wetu humu wanaopostiwa vitu na watu wengine bila wao kujua lol.......ndio maana na vitoto vya form 4 tunakutana navyo humu....
 
umeona eeh
kweli kabisa maana kuna post unashangaa tu
 
haswaa yaan nimekakuta kanang,aa macho halaf kalivyoniona kakashtuka, nahc kalikuwa humu MMU.....
umeona eeh
kweli kabisa maana kuna post unashangaa tu
 
that why kuna mambo unachangiaga huku hayana maana itakuwa ni huyo tu kaa
 
ukiwa in a place with kids around its better to sign out kama unaenda kufanya kashughuli hata kadogo... mimi yalishanikutaga hayoo,,
 
halaf kwenye 'a'ningeweka 'e'
ngepigwa ban

Hahahahaha .........mh! hayo ya "a" na "e" mi thijayathema!! we hata usiogope mana ban ni kwa ajili yetu wanajamvi.
 
nimejifunza wangu, coz hawa watoto wa cku hz wa .com hatari sana
ukiwa in a place with kids around its better to sign out kama unaenda kufanya kashughuli hata kadogo... mimi yalishanikutaga hayoo,,
 
Watoto wa darasa la nne wapo wengi sana humu siku hizi, ndo maana uzi nyingine zinazoanzishwa unashindwa kuelewa psychology ya mwanzishaji iko vipi?! khaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…