Hilo ni kweli kabisa mkuu,anapoteza muda wake kuandika 'xaxa' badala ya neno sasa haingii akilini ana maana gani!
kwa kawaida ukikuta mtu kwa mfano kaandika 'ktk' katikati ya sentens zake waweza kuisoma kama 'katika' kwamba kapunguza maneno! Lakin sasa hao wenzetu dah!!!! inakasirisha na kuudhi sana!