Dedan j Dedan New Member Joined Sep 3, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Feb 7, 2021 #1 Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa