Nimehamasika kwenda kupima DNA. Labda nina uyahudi ndani yangu

omba tu uraia mkuu watakupatia chap, ukaingie jeshini
ukazuiee waaarabu
 
Ukimwi tu hupimi na ni bure unataka DNA unajua n sh ngap πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wala hakuna kuhangaika kuoima DNAb, we jicheki umri wako na kitu gani umekifanya kwa familia hadi Taifa kiasi tukujue wewe ni myahudi.

Maana huwezi kuwa mteule wa Mungu afu mafanikio sifuri, yaani unasumbua wanafamilia kwa mizinga.
 
1% myahudi ni kiasi kidogo mno kufurahia, unapaswa kuwa angalu 15%. Kuna study ilifanyika na kuonesha link kati ya watu wa Middle East na East Africa including parts of Kilimanjaro.
 
kapime kwanza utimamu wa akili
 
Unataka kaburi la @GENGIS KHAN na @GEYHATU yachimbuke!!??
Kumbuka Mongolian wewe unasaliti asili yenu!?
Mongolia na Uyahudi wapi na wapi!?
 
Pole sana mkuu kwa ugumu wa maisha komaa tu hapa hapa πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Tuko pamoja na mimi nahitaji kwa asilimia 100
 
Aisee, naku encourage sana ufanye DNA test waweza kustaajabu matokeo kama mimi nilivyopata. Mfano, mimi ni kutoka kanda ya kati lakini angalia DNA results hapa chini.



Ajabu zaidi, nimekuwa connected na watu wapo US na UK ambao hatuwafahamu kabisa kama inavyoonyesha hapa chini.


Wa pili na watatu tunafahamiana kabisa ingawaje wa pili katangulia mbele za haki. Huyu wa mwisho ambaye yupo US nimewasiliana naye na kwa kweli ni fascinating story by itself!! One day nitaiweka hapa.

Wa kwanza yupo UK simfahamu.

Go for it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…