Nimehamia Kijitonyama. Namtafuta Mchawi hapa Jirani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimehamia kijitonyama juzi jioni. Mke wangu amejifungua mwezi wa sita sasa anatakiwa kurudi kazini.

Maeneo haya ya Kijitonyama natafuta Mchawi anilelee mtoto wangu. Maana huwa nasikia wanasema "mchawi mpe mwana akulelee"

Je naweza pata mmoja?na bei zao huwa zinakuaje? Maana wakijua mi mgeni wasije wakataka kunipiga bei kubwa. Wife next week anatakiwa aanze kazi. Sijapata mtu wa kunilelea mwanangu
 
Bahati nzuri umewahi kukiri mwenyewe kwamba unatumia yake majani ya Bob marley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…