Nimehamisha salon kutoka eneo moja na jingine. Duh! wateja bado Sana sijui ndo ugeni

Hilo eneo jipya ulilohamia ulisoma mazingira yapoje kabla ya kuweka hiyo biashara yako??

Si kila eneo ni la kufanya biashara/project yoyote ile,.muhimu kujua watu wa eneo ulilopo wanataka nini na je mazingira ni rafiki,.?!
 
Mwanzo wowote ni mgumu huko ulipokuwa mwanzo ulikuwa umeshazoeleka na wateja ila sasa mpaka uchukue tena muda mrefu ndio utatengeneza wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha ina wadada wa mjini wa kutoa huduma za 'facial masaage' na kuosha...wateja watakuja....
 
Mkuu umeanza biashara jumamosi maeneo mapya leo unasema hakuna wateja? inatakiwa uvumilie kidogo ili wateja waelewe hapo kuna saloon kwanza ndio uanze kupata chochote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…