Nimeharibu mahusiano ya mchepuko wangu na bodaboda wake

Tunga kitabu kabisa mkuu,kiwe na title MAHUSIANO YANGU NA MCHEPUKO MAMA J,utauza Sana.
 
Najaribu sna kufupisha sema nashindwa maana najihisi sijitendei haki.

Napenda sana kuandika kila deatail ya kile akili yangu ilishuhudia[emoji4]
Dah. Kusema kweli mkuu watu wengi hawatausoma uzi wako. Mimi ku scroll tu mpaka nije ku comment imechukua muda mrefu sana sasa mtu akisoma hapa si zaidi ya nusu saa.

Moja wapo ya sifa ya uandishi ni kuzingatia muda ambao msomaji atatumia kusoma. Mada ikiwa ndafu sana hata kama ni nzuri huwa inapoteza mvuto. Heri kuleta kwa vipande vipande.
 
Apo kwny vipande vipande nmekupata mkuu
 
Huyo mwanamke hatatulia mpaka apate hitaji la moyo wake...
Kwa sasa mtakua na utulivu wa muda tu ila mbeleni wazo na hitaji lake litarejea kwa kasi ya ajabu,na tufani litakapokuja hutagundua lilipotokea..
Cha zaidi ni kama umemu-alert awe makini na mbinu zake...hivyo bhasi atafanya mambo yake kwa siri sana usigundue na tegemea atanunua line ingine na simu ingine kwa siri na itafichwa sana.
Hitaji lake ni mtoto,mtimizie aridhishe nafsi yake,usimtumie tu kwa furaha zako na matamanio yako,huo muda wake utaufidia vipi?
 
We jamaa kiboko yako uje upate mchepuko jinj...
 
Anyway good story telling
 
Kwakua haya mambo hayataisha humu MMU na kumekuwa na episodes nyingi, leo naomba:-


Hii series tuipe jina la MAISHA HALISI YA MCHEPUKO WA DEEPBOND.
 
Angetulia kitabia,.
Nadhan ningemzalisha mkuu
 
Kwakua haya mambo hayataisha humu MMU na kumekuwa na episodes nyingi, leo naomba:-


Hii series tuipe jina la MAISHA HALISI YA MCHEPUKO WA DEEPBOND.
Ha ha ha ...[emoji4]
 
Ingawa nyuzi za huyu bwana huwa ni ndefu, ila huwa nasoma mpaka mwisho. Kuna vingi navipata! Ila huo mchepuko ni pasua kichwa!
 
Mchepuko kakuteka Haswa. Hufurukuti Mwanaume.

Haya mambo Yangefanywa kwa Wake zetu Kusingekuwa na Usaliti wa Hovyo hovyo
 
Story kama movie. Nimeipenda.
naomba huyo boda wala shoga yake asiwe JF.


Vipi kuhusu swala la kukuibia pesa
 
Story kama movie. Nimeipenda.
naomba huyo boda wala shoga yake asiwe JF.


Vipi kuhusu swala la kukuibia pesa
Nishalimaliza, nilimpa onyo Kali akaacha [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…