The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be upon you all sons of Zion,
Nimepita na kuishi mikoa mingi ila nikiri kwa ulaji wa nyama Arusha ni kinara. Bila kua na takwinu rasmi lakini nadiriki kusema nyama inayoliwa Arusha inaweza kua mara mbili ya nyama inayoliwa na mikoa yote combined.
.
yani ni kawaida kukosa chakula sijui wali ugali nini na nini ila sio nyama. Kuna mtu zinakula nyama nyama nyama. Pombe inanyeka kwa wingi sanjari na nyama ila kwa kua mimi sio mdau wa mitungi habari ya mitungi sitaisemea.