Nimehitimu kidato cha sita miaka saba iliyopita, naweza pata mkopo?

Nimehitimu kidato cha sita miaka saba iliyopita, naweza pata mkopo?

sabufa

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Mimi ni kijana niliyehitimu miaka saba iliyopita.lakini kwa kuwa wadogo zangu wananitegemea nilianza shughuli mbalimbali
 
Kicha cha habari kimejieleza zaidi ya habari yenyewe!!!!
Kiufupi, hutapata mkopo kwa kua uko nje ya vigezo vyetu. Tutatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza elimu zao (form 6 au diploma) ndani ya iterval [2012,2014].
Pole sana!
 
Back
Top Bottom