S sabufa Member Joined Apr 21, 2013 Posts 26 Reaction score 4 Oct 7, 2014 #1 Mimi ni kijana niliyehitimu miaka saba iliyopita.lakini kwa kuwa wadogo zangu wananitegemea nilianza shughuli mbalimbali
Mimi ni kijana niliyehitimu miaka saba iliyopita.lakini kwa kuwa wadogo zangu wananitegemea nilianza shughuli mbalimbali
ENANTIOMER JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 1,419 Reaction score 804 Oct 7, 2014 #2 Kicha cha habari kimejieleza zaidi ya habari yenyewe!!!! Kiufupi, hutapata mkopo kwa kua uko nje ya vigezo vyetu. Tutatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza elimu zao (form 6 au diploma) ndani ya iterval [2012,2014]. Pole sana!
Kicha cha habari kimejieleza zaidi ya habari yenyewe!!!! Kiufupi, hutapata mkopo kwa kua uko nje ya vigezo vyetu. Tutatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza elimu zao (form 6 au diploma) ndani ya iterval [2012,2014]. Pole sana!