Umenyongwa Na huyo nyauHabari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Mkuu hujaelewwlekaHabari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Ukinyongwa utujulishe ili tuweke matangaHabari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Ulikua na kosa gan!! Ili nass tusidumbukie!! Nitashukuru ukinijib hapa au private ila jibu lako la muhim kwanguHabari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Ina maana hujamuelewa mkuu??!....... Huyu ananyongwa na mapenzi!!Unanyongwa na serikali au mtu binafsi?