Nimeibiwa fedha kwa njia ya mobile kwenye account NMB Bank

Nimeibiwa fedha kwa njia ya mobile kwenye account NMB Bank

mbeshere

Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
64
Reaction score
8
Wandugu kuna ndugu yangu kaibiwa fedha zimechotwa kwenye account yake na kuwekwa kwenye account za watu wawili tofauti, Hili limetokea bank ya NMB halafu wahusika wa bank wamepewa taarifa lakini they take it serious not.WANA JAMVI NAOMBA MUONGOZO USHAHIDI NINAO WA KILA KITU....
----
----
----
 
kaonane na manager wa tawi,usikubali kuonana na watu wa counter(customer services)jibu atakalokupa usipo lidhika nalo..nijulishe nikwambie hatua itakayofuata..
 
Wakuu this is serious.nimeshasikia similar events kutoka kwa watu 3 tofauti.
 
Nimemuona akaniambia nikatoe taarifa police and i have done it anasema halafu ametuma taarifa HQ wapeleke hiyo namba ya simu voda iliwaweze kuambiwa ni nani ,sasa mimi hayo yananihusu vipi wakti hela zangu zimechukuliwa mikononi mwao why dont they give ma money back and then follow up the procedure..
 
Maendeleo Tanzania, Msaada kwa customer care huwezi pata mpaka uende kwa meneja?

Kastoma keya "customer care" wengi huwa wanatoa majibu ya bora liende, nazani walio wengi huwa wanachukia mteja anapokuja kuwaliza jambo. ukimuona mkulu wao unaweza kupata majibu yanayorizisha
 
Maendeleo Tanzania, Msaada kwa customer care huwezi pata mpaka uende kwa meneja?

Kwani hujui Tanzania kuna Customer Scare not Care?

Ukiona matangazo ya biashara na utendaji ni vitu viwili tofauti
 
asee mpe pole, ngoja na mimi nichungulie vi-albaki vyangu kama viko salama
 
Wandugu kuna ndugu yangu kaibiwa fedha zimechotwa kwenye account yake na kuwekwa kwenye account za watu wawili tofauti, Hili limetokea bank ya NMB halafu wahusika wa bank wamepewa taarifa lakini they take it serious not.WANA JAMVI NAOMBA MUONGOZO USHAHIDI NINAO WA KILA KITU....
----
----
----

KUIBIWA fedha kwa njia ya nmb mobile inaweza kusababishwa na mtu ambaye ni wa karibu yako, ambaye anajua namba yako ya siri ya nmb mobile(kama umejisajiri) ambaye huyo mara nyingi ni ndugu yako au rafiki yako

Au kama haujajisajiri kuna mto wako wa karibu amefanikiwa kupata kadi yako na akajisajiri, na huyo mtu anaijua namba yako ya siri(ambaye anaweza kuwa mkeo, mtoto wako au mtu mwingine yoyote wa karibu),

USHAURI
Fanya uchunguzi kwa makini , unaweza kukuta ni ndugu yako wa karibu sana ndo anahusika na HUO WIZI
 
Pole sana kaka..! Hiyo issue mi imenitokea NMB 2009. nikajribu kumfuata manager lakini wapi? Nashukuru hata hvyo kias kilikuwa kiduchuuuuuuuu.!! Ni vgum kuipata tena hyoooo. Wamekula hao....!!!
 
Mh! mpe pole sana huyo ndugu mi naomba nielekezwe jinsi ya kujiondoa kwenye huduma hiyo maana imeanza kunitia tumbo joto.
 
Back
Top Bottom