wanabodi heshima mbele.
Naomba msaada wa mawazo katika tatizo langu la kiwanja.
Mimi nafanya kazi mkoani ila nina kiwanja mjini dsm. baada ya kupata uhamisho wa kikazi niliamua kununua kiwanja.
Nikapata kiwanja kwa jamaa fulani na kumlipa kwa mwanasheria akatuandikia ducuments fulani ambazo ninazo ila kiwanja kilikuwa hakina hati so nilipatiwa letter of offer. baada ya muda kupita nilienda kwa jamaa fulani wanahusika na valuation na michongo ya hati.
However baada ya kufatilia niligundua kwamba jamaa alishachukua hati na anayo. jamaa kapotea haqpatikani nina RB ya polisi na wale jamaa wa valuation waliniambia nipeleke caveat ardhi nikapeleka na jamaa hajapatikana mwaka sasa.
UAMUZI WANGU
nimeamua either nijenge pale ili mwenye hati ajitokeze tuonane uso kwa uso, pia sometimes naona kama niliibiwa hela niopotezee but nikifikria hela yenyewe nyingi kichwa kinauma.
Naombeni ushauri nifanye nini wakuu.
natanguliza shukrani za dhati!!!!!!!