Nimeibiwa Laptops mbili nyumbani

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
116
Reaction score
95
Da! Nimeibiwa laptops mbili hapa Ubungo Kibo, Dell na HP. HP imevunjika kipande mbele kushoto mpaka hard disk inaonekana, ila ndio ina data zangu muhimu.

Dell ina hard disk ya 1TB na HP ni 500Gb (kama nakumbuka vizuri). Ukiiona HP utaitambua kwa maelezo haya.

Mhusika naomba tu jamani baki na hizo laptops nirudishie data za hiyo HP. Masikini mie πŸ™ πŸ™
 
Hakuna hizo video. Kuna picha za family events zingine za muhimu mno na wahusika wengine ni marehemu na ni mimi tu ndiye ninazo. So kumbukumbu zimepitea.
Vitu vya msingi sana jitahd kutunza mtandaoni hasa kwenye drivebox au email , mi hii ilishanikuta nilipotezaga laptop ilikuwa na kumbu kumbu zs msingi sana mpak leo inaniuma yaan , kuanzia hapo huwa natunza picha FB( only me) na kwenye email, vile vya msingi sana
 
Ushauri mzuri binafsi huwa nafanya hvyo pia huwa ni njia nzuri ya kutunza vitu
 
Hakuna hizo video. Kuna picha za family events zingine za muhimu mno na wahusika wengine ni marehemu na ni mimi tu ndiye ninazo. So kumbukumbu zimepitea.
Backups muhimu
 
Da! Nimeibiwa laptops mbili hapa Ubungo Kibo, Dell na HP. HP imevunjika kipande mbele kushoto mpaka hard disk inaonekana, ila ndio ina data zangu muhimu...πŸ™

Online backup, up to 1 T (auto syc) is less about $50/year...
 
Najua ni muhimu ni uzembe wangu tu. Nina flash ya 2TB eti nimeweka games za mtoto tu.
Mkuu jitahidi picha uziweke google drive au mega kama ulivyoshauriwa na wana jamvi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…