Nimeibiwa LUKU asubuhi hii, nianzie wapi?

Nimeibiwa LUKU asubuhi hii, nianzie wapi?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.

Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.

Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
 
Kuna kipindi huu wizi ulisambaa sana.

Ripoti polisi na Tanesco.

Ingawa sikuwahi ona mtu aliyesema kwamba walifanikiwa kuwapata wezi
Huyu mtu lazima atakuwa alifanya tanesco sio hivi hivi mkuu
 
Duuh hii nayo mpya, nakumbuka kwetu ni Tanesco walioshauri lile box la luku lihamishiwe nje. Sasa kama wameanza kuiba tena, itakuwaje 🫠 !
Sasa hii itakuwa ni shida na wahusika ni watu hao hao wa tanesco coz zile ni mali za shirika na hata ikienda kufungwa sehemu nyingine majina ya usajiri yatasoma mengine kwahiyo ni rahisi kumshika mtumiaji nae akamtaja aliyemuuzia ambao ni hao hao tanesco technians
 
Kuna kipindi huu wizi ulisambaa sana.

Ripoti polisi na Tanesco.

Ingawa sikuwahi ona mtu aliyesema kwamba walifanikiwa kuwapata wezi
Thx mkuu NAMI nimemshauri hivyo tunasubiri wah WA tanesco watatudaidiaje
 
Sasa hii itakuwa ni shida na wahusika ni watu hao hao wa tanesco coz zile ni mali za shirika na hata ikienda kufungwa sehemu nyingine majina ya usajiri yatasoma mengine kwahiyo ni rahisi kumshika mtumiaji nae akamtaja aliyemuuzia ambao ni hao hao tanesco technians
Kabisa mkuu

Maana ni ewaza sana JE aliechukua anaenda kubadilisha jina na mtr namba ama
 
si kwetu walifanikiwa
Unawapataje mkuu maana hii kwangu mpya SIJAWAHI onaaa
Ila nasema haya mambo n watu WA tanesco wanahusika

KUNA siku tegeta dogo wangu alikuwa anataka LUKU akawa ana haraka jamaa WA tanesco wakamwambia kama una haraka tukuwekee luku ya jina lingine uendelee na kazi

Nikamgomra dogo usikubali. Ikitokra umeibiwa wewe utajibu yote NDUGU

Tukawa wapole wakatuchelewesha lakn walifunganat last ya jina lake
 
Kabisa mkuu

Maana ni ewaza sana JE aliechukua anaenda kubadilisha jina na mtr namba ama
Haiwezekani kubadirisha usajiri mkuu. Mpaka Tanesco kuwashauri wananchi wafunge mita nje ya nyumba maanake wanaiamini mifumo yao na wao ndio sole distributor wa hizo devices. Kwahiyo chochote tofauti na mfumo wao wao ndio wawajibikaji definitely.
 
Thx mkuu ntaleta MREJESHO ngoja tusubirie
 
Back
Top Bottom