Nimeibiwa na kisha nikapigwa na madada poa

Huu si ukumbi wa hadithi za paukwa pakawa jamani!!!!
 


Hapa ndipo hadithi yote inapokuwa ni uongo.--- kama hali ilikuwa ni hivyo kwanini usiachie mbususu na ukamkamate huyo mwizi (dada poa) aliyekuwa uvunguni??!.
 
Ulienda chimbo gani kununua hao dada poa?
 
Hivi mwanaume anabebaje simu 4. Yaani akiwa kwenye matembezi yake anaziwekaje?
Nimepata picha..... mbili mifuko ya nyuma ya suruali, nyingine mbili mifuko ya mbele...
Mwizi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…