Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

Ahahaaaaaa....! Kama kawaida yako mkuu. Wewe si ulienda ukweni wiki iliyopita wewe?. Eti ashukuriwe alieanzisha vikoba. [emoji1787][emoji1787]
 
Inamaana amegongwa 😂😂😂
 
Ahahaaaaaa....! Kama kawaida yako mkuu. Wewe si ulienda ukweni wiki iliyopita wewe?. Eti ashukuriwe alieanzisha vikoba. [emoji1787][emoji1787]
Ashukuriwe sana mkuu
 
Bora nikutane na hiyo machette kuliko kukimbia ofisi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…