Nimeifanya betting kuwa chanzo cha pili cha mapato.

Sijaanza kubet juzi, jana wala Leo nimeanza huu mchezo kabla hata
aya makampuni bado hayaanza,nimeanza huu mchezo tangu new Africa Hotel mwaka 2004.
Kifupi kuna member mmoja amenifungua mno katika namna ya kubet,mwezi mzima kila siku nashinda
Amenipa njia ambazo najuta kwanini nilichelewa kuzifahamu tangu hapo awali!!.
Nimeamini betting sio kwa ajili ya kila mtu ,betting ni maalumu kwa watu wachache wenye roho ngumu .
Mfano: katika basketball timu ya lioning na frayers jumla ya odds ni 1.43 halafu mtu anaweka stake ya mil 4.
Odds 1.43×stakes 4mil=5.72mil.
5.72mil-4mil=1.72mil.
Faida ni mil 1.72mil ndani ya nusu saa tu.
Nipo katika ajira serikalini kwa miaka 15 ila betting ya mwezi miezi 2 imenipa maendeleo mara 10 ya ajira niliyosotea kwa miaka 15.
Kwendraaaaaa
 
Au vipi mzee wa betting?! Hamna noma.
 
Attachments

  • 20231017_050322.jpg
    20231017_050322.jpg
    80 KB · Views: 7
Weka picha ya mkeka
Sijaanza kubet juzi, jana wala Leo nimeanza huu mchezo kabla hata
aya makampuni bado hayaanza,nimeanza huu mchezo tangu new Africa Hotel mwaka 2004.
Kifupi kuna member mmoja amenifungua mno katika namna ya kubet,mwezi mzima kila siku nashinda
Amenipa njia ambazo najuta kwanini nilichelewa kuzifahamu tangu hapo awali!!.
Nimeamini betting sio kwa ajili ya kila mtu ,betting ni maalumu kwa watu wachache wenye roho ngumu .
Mfano: katika basketball timu ya lioning na frayers jumla ya odds ni 1.43 halafu mtu anaweka stake ya mil 4.
Odds 1.43×stakes 4mil=5.72mil.
5.72mil-4mil=1.72mil.
Faida ni mil 1.72mil ndani ya nusu saa tu.
Nipo katika ajira serikalini kwa miaka 15 ila betting ya mwezi miezi 2 imenipa maendeleo mara 10 ya ajira niliyosotea kwa miaka 15.
 
hizo pesa unazopata jengea mnjengo wa maaana au nunua gari utembelee
 
Huo ujinga sifanyi yani ni mwendo wa tren stak mia 200 au jero na kinaeleweka siwezi risk kibunda yangu niliyotafuta kwa jasho kisa kanji ..never ever
 
Ebu tuwekee mkeka wa ilo treni lako uliloweka stake ya 200/500 na ukashinda.
 
Back
Top Bottom