Jamani hii Siri nimeificha kwa muda mrefu leo nimeona bora niwaambie ukweli
"Mimi ndiyo yule nnaetoaga majibu ya hesabu zenu kwenye calculator"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio nimetembea na mke wako wewe[emoji29] Inasikitisha sana[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe boya vidole vina fangasi nini? "Wanamatazo"/"Mweka" ndio nini hivi...???[emoji23][emoji23] Kuna baadhi ya watu humu wanamatazo ya akili hata jokes wenyewe wanapinga. Pole mweka mada
Hili lipimbi hapa sijalielewa kabisa[emoji29] Inasikitisha sana[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa kosa ni la wazazi wako kuzaa toto pimbi kama wewe!Sio kosa lako...kosa la wazazi wako
Ni kweli kabisa hauwezi kubadilika siku zote utabaki kuwa nyumbu tu ndg. Kukaja Kununu [emoji38]Nyumbu ni nyumbu tu
Bora usingeitoa hiyo siri ili ubaki nayo moyoniJamani hii Siri nimeificha kwa muda mrefu leo nimeona bora niwaambie ukweli
"Mimi ndiyo yule nnaetoaga majibu ya hesabu zenu kwenye calculator"
Sent using Jamii Forums mobile app