kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 994
Kwanza inabidi ujiandikishe kwa watu watakao tegemewa kununua ticket yaan uwe miongoni mwao, alafu unaingia kwenye line yao au mchakato mzima, wao ndo wanapanga nani apate nani hasipate,
Kwa sasa nimeambiwa nimeshachelewa labda njia pekee ni kuipata kwa wanaonunua mapema ili wauze muda ukikaribia,
Ntaifuatilia kesho, nataka nishuhudie live majogoo hapa Kiev
Kwa sasa nimeambiwa nimeshachelewa labda njia pekee ni kuipata kwa wanaonunua mapema ili wauze muda ukikaribia,
Ntaifuatilia kesho, nataka nishuhudie live majogoo hapa Kiev