Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

jamii forums nimeingia kabla yako

Kuzaliwa duniani nimekutangulia

Unakopita nilipita kabla

Sasa iweje leo ujione umekua kijana? Ni nini inakupa kiburi hivyo aisee...
2 na 3 sio kweli
mi ni muold kiasi cha kwamba nikienda kukata gogo
gogo linakuwa halina harufu kwa kuwa ni gogo la kale
 
jamii forums nimeingia kabla yako

Kuzaliwa duniani nimekutangulia

Unakopita nilipita kabla

Sasa iweje leo ujione umekua kijana? Ni nini inakupa kiburi hivyo aisee...
@mo11 hebu njoo uniambie humo unamopita ambamo mentor alipita ni wapi?
 
waliokua zamani ndio nyie nyie mliokuwepo sasa hivi, mnakimbiza vivuli vyenu….kama hukuwepo umeajuaje majina ya wahenga kama na wewe sio mhenga kwa ID mpya...😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sawa bana lkn what i meant ni kwamba kipindi mimi naifaham jf hao walikuwa ndo wahenga wenyewe sasa. Yani wakati mm ndo naijua jf wenyewe walkua wenyeji hasa
 
Kuna sehemu nimekugusa itakuwa ila critisms pia ni comment. Asante kwa kucomment.
 
[emoji16]duh kweli wahenga wengine wa jf unetusahau,ila sio mbaya! Bado tupo!

Pamoja na wote uliowataja na wengine ,by then ilikuwa jf aisee[emoji119][emoji119]
 
jf ya zamani tulifanya hadi party. Mikutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…